Meeting Register Page

Meeting banner
Swahili Multilingual Seminar
Are you a Swahili-speaking scientist?
Do you love science and have an interest in a career in genetics?
Do you struggle to communicate your science in Swahili or in English?
Are you considering getting involved in science communication in Swahili?

Join us for the Swahili-speaking session of the GSA Multilingual Seminar Series!

Our panel of experts - Brenda Kamau, George Kitundu, Raziah Quallatein Mwawanga and Olaitan I. Awe - will share their experiences and discuss how to choose career paths and engage in scientific conversations. The session will be held in Swahili.

Je, wewe ni mwanasayansi anayezungumza Kiswahili?
Je! unapenda sayansi na una mvuto kwa taaluma ya genetics?
Je, unatatizika kuwasiliana kisayansi kwa lugha Kiswahili au Kiingereza?

Je, unazingatia kujihusisha na mawasiliano ya sayansi katika Kiswahili?
Jiunge nasi katika kikao cha lugha ya Kiswahili cha GSA Multilingual Mfululizo wa Semina!

Jopo letu la wataalamu - Brenda Kamau, George Kitundu, Raziah Quallatein Mwawanga na Olaitan I. Awe - watazungumzia matukio yao na kujadili jinsi ya kuchagua taaluma za kazi na kushiriki katika mazungumzo ya kisayansi. Kikao hicho kitafanyika kwa lugha ya Kiswahili.

Sep 19, 2022 06:00 AM in Eastern Time (US and Canada)

Meeting is over, you can not register now. If you have any questions, please contact Meeting host: .