webinar register page

Webinar banner
MKUTANO WA MAJADILIANO YA KISEKTA KATI YA WADAU NA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi, Nyumba,na Maendeleo ya Makazi imeandaa mkutano wa wadau wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Ministerial Public-Private Dialogue) kujadili changamoto, fursa na maboresho yanayoweza kufanyika ili kuongeza mchango wa Sekta ya Ardhi katika uchumi.

Dhima: Usimamizi Bora wa Ardhi kwa Maendeleo Endelevu ya Uchumi na Jamii.

TAREHE: 23 Mei 2022
MUDA: Saa 3 Asubuhi - Saa 8 Mchana

Jisajili sasa kushiriki.

May 23, 2022 09:00 AM in Nairobi

Webinar is over, you cannot register now. If you have any questions, please contact Webinar host: .